Directory

Chansela (elimu) - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Chansela (elimu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chansela


Kwa matumizi mengine ya jina hili angalia Chansela (maana) Chansela (kutoka neno la Kiingereza: Chancellor) ni kiongozi wa chuo kikuu.

Matumizi ya cheo hiki katika Kiswahili na lugha nyingine yanatokana na mapokeo ya Uingereza yaliyoenea kupitia makoloni yake na kuendelea katika idadi ya nchi huru. Vinginevyo mkuu wa chuo kikuu mara nyingi huitwa "rais wa chuo".

Vyuo vingi katika Jumuiya ya Madola huwa na chansela ambaye si mtendaji mkuu. Katika hali hiyo, mtendaji mkuu huwa ni makamu wake.

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chansela (elimu) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.